Chelsea 2-1 Watford

Ni ushindi wa pili huo kwa Chelsea na kunyakua point tatu nyingine muhimu kabisa.
Pamoja na kupata upinzani mkubwa katika michezo yake ya kwanza lakini wakali hao wanaonekana kuwa na imani ya kufanya vyema katika michezo inayofuata.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment