Ni suruhu ya kutofungana kati ya wakali hao wawili ambapo suruhu hiyo inazipatia timu hizo point moja moja.
Ambapo awali timu zote mbili zilipoteza michezo yao ya kwanza.
Leicester city alipoteza kwa kufungwa bao mbili kwa moja dhidi ya Hull city.
Huku Asernal akiadhibiwa kwa bao nne kwa tatu dhidi ya Liverpool.
- Blogger Comment
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments:
Post a Comment