Manchester United 2-0 Southampton

Manchester United yaibuka na ushindi dhidi ya Southampton na hivyo kukwapua point 6 katika michezo yake miwili ya kwanza.
Pamoja na Southampton kuonekana kutawala zaidi katika kipindi cha kwanza lakini Manchester United waliweza kuwazamisha vijana hao wa Moyes kupitia straika Zlatan aliyemalizia vyema pasi ya Wayne Rooney katika dekika ya 36.
Nayo dekika ya 52 Zlatan aliiongezea Manchester United bao la pili kupitia mkwaju wa penati.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment