Joe Hart matatani

Joe Hart amekuwa kipa namba moja katika kikosi cha Manchester city kwa kipindi cha misimu sita lakini kwasasa yawezekana akapoteza nafasi hiyo.
Pamoja na kuitumikia timu hiyo amekuwa akitumikia timu yake ya Taifa kama namba moja pia.
Tangu Pep Gadiola aanze kuinoa timu hiyo amekuwa akimweka mkali huyo benchi jambo ambalo limekuwa likishtusha mashabiki wengi wa jiji hilo.
Duru za habari nazo zime-ripoti kuwa kocha huyo amekuwa akimwinda mlinda mlango wa Barcelona yaani Bravo, swala linalomfanya Hart kuhofia kuachwa katika msimu huu wote.
Gadiola ameonekana kudhamilia kuweka mfumo mpya katika kikosi hicho kwani hata kiungo Yaya Toure amekuwa akikaa benchi tangu Gadiola aanza kufundisha kikosi hicho.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment