Arnold Schwarzeneger afungua mashindano ya watunisha Misuli Hong Kong

Arnold, 69, amezindua mashindano ya watunisha misuli na wabeba vitu vizito mjini Hong Kong leo.
Mashindano  hayo yatakuwa  yakifanyika  barani Asia kwa mara ya kwanza baada ya mashindano  hayo kufanyika  katika mabara mengine kama vile bara la Marekani ya Kaskazini.
Katika ujana wake Arnold alijizolea umaarufu kupitia movie zake mbalimbali na ushupavu wake katika unyajuaji wake wa vyuma vizito.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment