EATV Awards mbioni...

Channel kongwe ya burudani EATV inatarajia kutoa tunzo kwa wasanii kadha wa kadha chini ya udhamini wa Vodacom.
Ni kategori 10 ndizo zimewekwa mezani kuwaniwa na wasanii hao wa Tanzania.
Itakumbukwa hapo kabla kulikuwapo na tunzo za Kilimanjaro Awards ambazo mwaka huu zilishindwa kufanyika.
Tunzo hizo zitahusisha wanamziki na wacheza filamu.
Swali ni je tunzo za EATV zitapata mwitikio mzuri kama za Kili Awards?
Kubwa pongezi kwao EATV kwa hatua hiyo kubwa.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment