Riek Machar apinga uteuzi wa Deng Gai

Kiongozi huyo wa upinzani amepinga uwamuzi wa Rais wa Sudan Kusini kwa kueleza kuwa Rais huyo hana mamlaka hayo na kuwa hamtambui mteule huyo.
Uamuzi wa Raisi wa Sudan Kusini umekuja baada ya mpinzani huyo kupotea kwa kipindi cha wiki mbili.
Katika mahojiano na kiongozi huyo na duru mbalimbali kupitia simu ya kiganjani amesema kuwa yeye ndiye makamu wa Rais. 
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment