
Hatimaye Ureno ndiyo bingwa wa EURO 2016

Alikuwa ni Eder, alievalia jezi namba 9 kuipa ubingwa ureno katika dekika ya 109.

Kwake Ronaldo haikuwa shwari sana kwani ni baada ya dekika kadhaa za kipindi cha kwanza alitolewa nje kutokana na majeraha aliyopata.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment