Na Alicia Evance
“BakoBako
zinamatumizi tofauti kwa watu tofauti, lakini kutuma ujumbe, kuchukua picha na video
na kuingia katika mitandao ya kijamii ndio matumizi makubwa yanayofanywa na
asilimia kubwa ya vijana wanaomiliki simu hizi”
Kwa
takwimu hizi ni dhahiri kwamba vijana hupoteza muda pamoja na pesa kwa kufanya
mambo yasiyo ya maendeleo katika simu zao na hivyo kuleta hasara kubwa katika
jamii.
“Pamoja
na takwimu hizi za matumizi ya simu, jamii na wanaharakati hawajapambanua bado
fikra zao, kwanini vijana pekee ndiyo wanaoharibika? Kwani hapo kabla kijana wa
miaka 15 hakuruhusiwa kumiliki simu lakini hii leo mtoto wa miaka 12 anayejiita
kijana anamiliki simu ambayo hata mimi sijawahi kumiliki” alisema kijana
aliyejitambulisha kwa jina moja la Khamis (35).
Pengine
maneno ya Khamisi yanaweza yasifuatiliwe lakini ni jambo gani hasa mtoto wa miaka
12 anajifunza katika simu? ni kama
mtindo sasa vijana kupiga picha za utupu na kuweka mitandaoni, kusambaza video
ambazo hazina mafunzo kwa jamii na pia kutuma ujumbe usio na maadili, kwa hili mtoto huyu wa miaka 12
anajifunza nini.
Tanzania
haina budi kujilaumu lakini jamii itazame jambo hili kwa darubini ndani ya bahari,
kumruhusu kijana au mtoto wa miaka 12 kumiliki simu aina ya Bakobako
kumfungulia akaunti na pengine hufungua mwenyewe katika mitandao yote ya
kijamii na kujiunga na
makundi tofauti bila kujua mipaka yake kwa umri huo anatakiwa kuishia wapi katika
elimu ya dunia.
Bi.Rozalia
anatazama jambo hili kwa upevu wake, akiwa ni miongoni mwa watu wanaotumia
bakobako anasema “vijana wanaamini kwamba ni wakati wa mapinduzi ya utandawazi,
wanatakiwa kujua kila kitu mzee anachojua, wanaamini kwamba kijana hafunzwi na
jamii bali simu inamfunza kila kitu”.
Maneneo
haya yaweza kuwa kweli kwani asilimia kubwa ya masomo hufundishwa; “google,
wikipedia, youtube na browser”, hili pengine pia huwapa kiburi vijana lakini,
yale wanayojifunza huko sio sahihi kwa muda wao kujifunza, kama kijana
anajifunza kila kitu katika mitandao kuna haja gani ya msemo, asiyefunzwa na
mamaye ulimwengu utamfunza?
Vijana
kama nguvu kazi ya taifa wanatakiwa kuwa mfano katika matumizi bora ya simu
zao, kijana wa miaka 13 hadi 17 anatumia BakoBako kwa ajili ya mitandao ya
kijamii inamsaidia nini? ingawa mjadala utarudi palepale lakini suluhisho ni
kuweka umri sahihi wa kijana kuanza kumiliki simu na kumiliki akaunti zake
katika mitandao, lakini ni wangapi wataunga mkono jambo hili?
Kijana
anatakiwa kufahamu matumizi sahihi ya simu kulingana na umri na wakati wake wa
kujifunza na kutambua mambo kwa undani na kwa manufaa zaidi kuliko kupoteza
pesa kununua vocha na muda mwingi kwa ajili ya picha, video na ujumbe usiokuwa
na manufaa na hivyo atumie muda huo kwa ajili ya kutafuta njia ya kuleta
maendeleo katika jamii.

0 comments:
Post a Comment