Demba ba avunjika mguu


Ni tukio la kusikitisha kwa mashabiki wa mpira wa mguu. Kwani kijana huyo mwenye umri wa miaka 31 amekuwa akifanya vyema katika ligi ya China. Hivyo jeraha alilopata siku ya leo, ni pingo kwa timu yake na kwake pia.
Jeraha hilo lilipatikana katika mtanange baina ya wakali wa jiji la Shanghai ambapo Demba ba alijigonga katika mguu wa Captain wa Shanghai SIPG na kuvunjika mguu hapohapo.




Tazama jinsi ilivyokuwa.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment