Vinara wa Olympic Rio 2016


Michael Phelps na Katie Ledecky wanaongoza kwa medali 4 za dhahabu, wote kutoka Marekani.
Katinka HosszĂș anafuata nyuma ya wakali hao wa wawili kwa kukwapua medali 3 za dhahabu
Madeline Dirado anashika nafasi ya nne akiwa na medali mbili za dhahabu na fedha moja.
Simone Biles, Ryan Murphy na Anthony Ervin nyuma ya Madeline Dirado akiwa na medali mbili za dhahabu. 
Siku ya leo tuishie hapa japo wapo wengine wengi wenye medali mbili.  
Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment