Paul Pogba arejea Manchester United


Baada ya vuta ni kuvute ya mda mrefu, Manchester United imefanikiwa kumrejesha nyumbani Paul Pogba kwa dau nono la Pound Million 89.
Dau hilo linamfanya kinda huyo kuwa mchezaji wa thamani baada ya kuvunja rekodi ya Gareth Bale akiwa anajiunga na Real Madrid.
Dau hilo limeambatana na mkataba wa miaka mitano na mshahara mnono kabisa.
Taarifa hizi zilipabwa na video mbalimbali kupitia official facabook account ya Machester United, pamoja na website ya timu.
Picha hizi zinapatiakana katika fb account ya Manchester United na tovuti yake.
Tazama ujuzi wa mkali huyu

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment