Wachezaji wanaolipwa zaidi Duniani

 
Cristiano Ronaldo.
Huyo ndiye kinara anaepokea pesa ndefu zaidi duniani, kiasi hicho ni $ Milioni 82.
Anachezea Real Madrid kwa sasa lakini hapo kabla alikuwa na mashetani wekundu. Utaifa wake ni Ureno.
Lionel Messi.
Huyu ndiye kinara wa Ballon d' or ambaye amestaafu kuchezea timu yake ya Taifa ya Argetina. Ni mchezaji wa muhimu zaidi katika kikosi cha Barcelona kutokana na mchango wake tangu alipojiunga na club yake hiyo.
Analipwa kiasi cha $ milioni 77.
Zlatan Ibrahimovic
Kwasasa anakipigia katika kikosi cha mashetani wekundi ni kimaanisha Manchester United. Hapo kabla alikuwa katika kikosi cha Paris Saint-Germain (PSG).
Anapokea kiasi cha $ Milioni 37 huku timu yake ya taifa ni Sweden. 
Neymar Jr
Timu yake ya Taifa ni Brazil katika klabu ya Barcelona. Hapo kabla alikuwa anachezea Santos kabla ya kusajiliwa na mabingwa hao La Liga.
Anapokea kiasi cha $ Milioni 36
Gareth Bale
Michuano ya EURO2016 itakumbuka siji mkali huyu alivyo-tia wavuni faulo kadha kati ya zile alizoshinda katika mitanange aliyocheza.
Timu yake taifa ni Wales, huku klabu yake ikiwa ni Real Madrid. Hapo kabla alikuwa na Spurs kabla ya kuvunja rekodi ya kuwa mchezaji wa ghalama zaidi baada ya CR7. 
Anapokea kiasi cha $ Milioni 34

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment