Diamond aachia kibao kipya
Siku iliyokuwa ikisubiriwa na mashabiki wengi wa bongo flava juu ya kazi mpya ya msanii Daimond Platinumz, imewadia huku wengi wakiwa na shauku nini mkali huyo ameanda kuachia kwa Dunia.
Kama ilivyo ada msanii huyu amekuwa akiachia nyimbo kali kila kukicha, jambo ambalo limempa upenyo wa kuzidi kupiga hatua ambazo zimemfanya akwee mbali zaidi ya anga za Tanzania, Afrika Mashariki, Afrika na hivi sasa duniani.
Pamoja na msanii kung'a nyema kupitia vibao vyake vikali, lakini amefanikiwa kupata tunzo nyingi ambazo zimemfanya kuwa msanii wa kipekee ndani na nje ya Tanzania na Afrika kiujumla.
Pata kibao chake kipya.

0 comments:
Post a Comment