Pata hit kali ya miondoko ya clunk kutoka kundi linaloundwa na vijana kutoka Mbezi Kingz ndani ya jiji la Dar es salaam.Vijana hao wanaofanya muziki kwa kutumia Lugha ya mkoloni, jambo linalowafanya kuwa wa tofauti na kusaka soko la kimataifa.
Nyimbo hii imefanywa chini ya studio kubwa nchini Tomz Records inaendeshwa na producer matata Thomas Mkono.
0 comments:
Post a Comment