Jumla ya wizara ni 18 , Mawaziri ni 19.
Ilikuwa ni majira ya mchana ambapo Mheshimiwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutangaza majina ya mawaziri watakaounda serikali yake.Idadi ya wizara 18 ikiwa na inakamilisha idadi ya mawaziri 19 iliorodheshwa kama ifuatavyo.
Wizara ya Mambo ya Nje na EAC/ Kimataifa
Augustino Mahiga,
Naibu Waziri
Dk. Suzan Kolimba
Wazara wa Utamaduni, Sanaa na michezo
Waziri-Nape Nnauye
Wizara ya Nishati na Madini
Sospeter Muhongo
Naibu Waziri
Medard Kalemani
Wizara ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Walemavu
Jenista Mhagama
Wizara ya ofisi ya Rais, Utumishi na utawala (mawaziri wawili)
Simbachawene
KairukiOfisi ya Makamu wa Rais/Muungano na Mazingira
January Makamba
Naibu waziri Luhaga Mpina.
Wizara ya Mambo ya Ndani
Charles Kitwanga
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Makazi
Wiliam Lukuvi
Naibu
Angelina Mabula.
Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa
Husein Mwinyi
Wizara ya Katiba na Sheria
Harrison Mwakyembe
Wizara ya Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira
January Makamba
Wizara ya kilimo, mifugo na uvuvi
Mwigulu Nchemba
Naibu Waziri
William Tate Ole Nashon
Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji
Charles Mwijage
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto
Ummy Mwalimu
Naibu
Dk Hamis kigwangalla
Wizara ya Sayansi, Teknolojia, Elimu na Ufundi
Waziri - bado hajapatikan
Naibu Waziri -Stela manyanya
Wizara ya Maliasili na Utalii
Waziri - bado hajapatikana
Naibu Waziri - Injinia Ramo Makani
Waziri wa Fedha na Mipango
Waziri - bado hajapatikana,
Naibu Waziri - Dk. Ashantu Kijachi
Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano
Waziri - bado hajapatikana,Baada ya kuorodhesha majina ya mawaziri, Rais alipata nafasi ya kupiga picha na waandishi wa habari waliohudhulia siku hiyo muhimu.


0 comments:
Post a Comment