Zilikuwa ni dekika 90 za kwanza jijini Manchester ambapo wakali wawilil kutoka bara la Ulaya walipoumana kupata nafasi ya kuingia fainali ya UEFA.Ni dekika 180 ambazo zitaamua hatima ya timu hizo mbili, ukizingatia ndani ya ya dekika 90 za mwanzo hakuna alieona lango la mwenzake.
Katika mtanange wa leo, mchezaji hatari CR7 hakuwepo katika kikosi.
0 comments:
Post a Comment