Bayern Munich vs Atletical Madrid


Nani mkali? Je ni watoto wa Munich au Madrid? haya ni maswali ambayo majibu yake yatapatikana ndani ya dekika 180 ambazo zitatokana matokeo ya mechi zote mbili zitakazopigwa katika miji hiyo miwili.
Hakika itakuwa mechi ngumu na ya vuta ni kuvute kwani wakali hao wawili wamekuwa kivutio katika mechi zao za awali kabla ya kufika katika hatua hii.

Share on Google Plus

About Unknown

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment

0 comments:

Post a Comment