HABARI KUU
Ugonjwa wa kipindupindu wazidi kupamba moto
Duru za habari zimeripoti kuwa watu takribani 50 wamefariki huku 3000 wapatiwa huduma za matibabu, Zanzibar.
Askofu Stella Maris Flavian Kassala mhadhiri wa chuo kikuu ameteuliwa kuwa askofu wa Jimbo Kuu la Katoliki Geita na Papa Francis kupitia balozi wake nchini Tanzania Askofu Francisco Padilla.
0 comments:
Post a Comment