Magic Fm yafungiwa
Mamlaka ya mawasiliano yakifungia kitua cha habari cha Magic fm.
Real Madrid 3-0 Real Sociedad
Gareth Bale aendeleza umahiri wake baada ya kupachika mabao mawili (2 & 9 4) na M.Asensio (40)
Liverpool 0-2 Burnley
Majogoo hao wenye usemi wao "you will never walk alone" likiwa lina ashiria umoja ndo kila kitu kati ya mashabiki na wachezaji. ...
Manchester city 4-1 Stoke city
Ni vijana wa Pep hao, wanapata ushindi muhimu sana huku kocha akionekana akiunda kikosi kipya chenye itikadi mpya ya soka. Napo mfumo unadh...
Chelsea 2-1 Watford
Ni ushindi wa pili huo kwa Chelsea na kunyakua point tatu nyingine muhimu kabisa. Pamoja na kupata upinzani mkubwa katika michezo yake ya k...
Asernal 0-0 Leicester city
Ni suruhu ya kutofungana kati ya wakali hao wawili ambapo suruhu hiyo inazipatia timu hizo point moja moja. Ambapo awali timu zote mbili zi...
Simba 3-1 Ndanda fc
Ni mwanzo mzuri kwa wekundi hao baada ya kuilaza Ndanda fc kwa bao tatu. Ushindi huu unawapa mashabiki wa Simba morali ya Simba mpya ya uwe...
Manchester United 2-0 Southampton
Manchester United yaibuka na ushindi dhidi ya Southampton na hivyo kukwapua point 6 katika michezo yake miwili ya kwanza. Pamoja na Southam...
Joe Hart matatani
Joe Hart amekuwa kipa namba moja katika kikosi cha Manchester city kwa kipindi cha misimu sita lakini kwasasa yawezekana akapoteza nafasi hi...
EATV Awards mbioni...
Channel kongwe ya burudani EATV inatarajia kutoa tunzo kwa wasanii kadha wa kadha chini ya udhamini wa Vodacom. Ni kategori 10 ndizo zimewe...
Arnold Schwarzeneger afungua mashindano ya watunisha Misuli Hong Kong
Arnold, 69, amezindua mashindano ya watunisha misuli na wabeba vitu vizito mjini Hong Kong leo. Mashindano hayo yatakuwa yakifanyika bar...
Subscribe to:
Posts
(
Atom
)